Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika Ofisi Ndogo ya
wizara, jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola(katikati), akimsikiliza mmoja wa wananchi, Benadecta Kalabani (wa kwanza kulia), aliyefika
ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko yake.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi, Sheikh Issa, aliyefika ofisini kwa waziri,
jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko
yake juu ya ndugu yake kuuawa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi, Joseph Ashery, aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam
kuelezea malalamiko yake.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi, Martha Mtungi (wa kwanza kulia), aliyefika
ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko yake.
No comments:
Post a Comment