HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

August 07, 2018

NAIBU WAZIRI WA MADINI AVUTIWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA BENKI YA CRDB KATIKA MAONYESHO YA NANENANE 2018 MKOANI SIMIYU

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, akipata maelezo juu ya huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB, zikiwemo Salary Advance, Mikopo ya Wafanyakazi, Simbanking, SimBanking App, QR code/Mvisa, akaunti mbalimbali wakati alipotembelea Maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.

Wananchi waliojitokeza katika Banda la Benki ya CRDB kupata huduma.
Wateja wakipata maelezo kwa maofisa wa Benki ya CRDB juu ta huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo.
Wananchi.
Baadhi ya wananchi wakisoma maelezo ya kuhusu benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB, mkoani Simiyu, Richard Karata (kushoto), akimpa maelezo Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika Monyesho ya Nanenae yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.
Meneja wa Benki ya CRDB, mkoani Simiyu, Richard Karata, akimpa maelezo Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika Monyesho ya Nanenae yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.
Wananchi wakiingia katika Banda la Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB, mkoani Simiyu, Richard Karata, akimpa maelezo Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika Monyesho ya Nanenae yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.
Msanii wa mashairi, Mrisho Mpoto, akipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya CRDB.

Wananchi waliojitokeza katika banda la Benki ya CRDB wakiwa katika banda la benki hiyo.

Wananchi wakipata maelezo juu ya huduma za Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB, mkoani Simiyu, Richard Karata (kulia), akimpa maelezo Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika Monyesho ya Nanenae yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.
Meneja wa Benki ya CRDB, mkoani Simiyu, Richard Karata (wa pili kulia), akipeana mkono na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika Monyesho ya Nanenae yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakibinda mkoni Simiyu.
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, akifafanua jambo baada ya kupata maelezo juu ya huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB.

No comments:

Post a Comment

Pages