Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua wakati alipowasili
kwenye makao mkuu ya kampuni ya Huawei Technologies yaliyopo Shenzhen
nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo
duniani, Li Da Feng. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya jengo la Makao
Makuu ya Kampuni ya Huawei Techinologies yaliyopo Shenzhen nchini China
baada ya kutembelea Ofisi hizo na kuzungumza na viongozi wa Kampuni
hiyo, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment