Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Askari wa Usalama barabarani (Trafiki), alipopata nao chai ya asubuhi mara baada
ya kutoka kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Osterybay Jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata chai ya asubuhi na baadhi ya
Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) Ikulu Jijini Dar es salaam mara baada ya
kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Osterybay Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe
Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na
waumini wengine kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe
Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na
waumini wengine kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa
amani na mmoja wa Masista wakati wa
Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa mkono wa
pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia
hiyo kufutia ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria
Septemba 20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Janeth Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko msaidizi Padre Batholomeo
Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia ajali ya Kivuko cha Mv
Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018.Wakati wa Ibada ya
jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Paroko msaidizi Padre Asis Mendonca mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili
katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba
23,2018. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment