HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 22, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI ATANGAZA SIKU NNE ZA MAOMBOLEZO KUANZIA LEO KUFUATIA AJALI YA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV NYERERE KATIKA ZIWA VICTORIA WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake  kati ya kisiwa cha  Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria  Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo  watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia tarehe 21 Septemba 2018. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages