Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea saluti toka kwa Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza muda mfupi baada ya
kumuapisha kuwa Skauti Mkuu wa Chama Cha Skauti Tanzania. Aliyeketi ni
Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe aliyemuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Hafla hii imefanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
baada ya kuongea machache kwenye hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara
ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi
Mnyepe na Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu bakari Mahiza Ikulu
jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi akiongea machache kwenye hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara
ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi
Mnyepe na Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe kuwa Katibu Mkuu Wizara
ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 3, 2018.
Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania Rais Mstaafu
Alhaj Ali Hassan Mwinyi Rais wa Chama cha Skauti na Waziri wa Elimu,
sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, katibu Mkuu wa Wizara ya
Elimu, Sayansi na Technolojia Dr. leonard Akwilapo, Skauti Mkuu Ndg.
Mwantumu Bakari Mahiza, Mama Anna Abdallah, Mwenyekiti wa Chama cha
Skauti nchini Mhe. Abdulkadir Shah na makamishna wa Skauti na Girl
Guide kwenye hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe na Skauti Mkuu
wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Spika wa bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas
Ndumbaro, Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi na Skauti Mkuu Ndg.
Mwantumu Bakari Mahiza pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama baada ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe na Skauti Mkuu
wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 3, 20 Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2018. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment