Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa
Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu
maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo wafanyakazi wa Tigo
waliwatembelea wateja mitaani na kukusanya maoni yao kuhusu huduma zake. Kulia
ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Joseph Mutalemwa pamoja na wafanyakazi wa
kitengo cha huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani,
Joseph Mutalemwa (katikati), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho
ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo wafanyakazi wa Tigo waliwatembelea wateja
mitaani na kukusanya maoni yao kuhusu huduma zake. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo
cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola pamoja na wafanyakazi wa
kitengo cha huduma kwa wateja.
Msaidizi wa Huduma za Tigo,
Plasidia Jameson (kati), pamoja na Msaidizi wa Ubora wa Huduma za Tigo, Kejiya
Thangal (kulia) wakielezea baadhi ya huduma za Tigo kwa mfanyabiashara wa soko
la Mwenge, Dismas Msauthi (kushoto), hii ikiwa kwa nia ya kuboresha utoaji
huduma kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Afisa wa Huduma kwa Wateja wa
Tigo, Wilfred Nestory (kushoto), akielezea baadhi ya huduma za Tigo kwa
wafanyabiashara wa soko la Mwenge, Joseph Luseba (kshoto) na Samuel Gervas (kati), hii ikiwa kwa nia ya
kuboresha utoaji huduma kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa
Wateja.
Meneja Mauzo wa Tigo Kinondoni,
Aznat Mboya (kushoto), akikusanya maoni na kuelezea baadhi ya huduma za Tigo kwa
Juma Ibrahim mkaazi wa Mlalakuwa na Mohammed Sultan wa Manzese Dar es Salaam
kwa nia ya kuboresha utoaji huduma, hii ikiwa kama sehemu ya maadhimisho ya
Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Kiongozi wa Timu wa Huduma kwa
Wateja ya Tigo, Jackson Jerry (kulia), pamoja na Meneja Mauzo wa Tigo, Kinondoni Aznat Mboya (aliyesimama kati) Kinondoni, Aznat Mboya (kushoto)
wakikusanya maoni na kuelezea baadhi ya huduma za Tigo kwa Elizabeth Simon wa
Mwenge Dar es Salaam kwa nia ya kuboresha utoaji huduma, hii ikiwa kama sehemu
ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
No comments:
Post a Comment