HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

October 21, 2018

YANGA YAIGONGA ALLIANCE 3-0

Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Alliance ya Mwanza uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Said Powa).
 Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Mrisho Ngasa baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment

Pages