Wahitimu Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi wakiapa kiapo cha Utii na
Uadilifu mbele ya Mgeni rasmi Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo
jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393
wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es
salaam.Desemba 21,2018.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Paredi ya Maafisa na Wakaguzi wahitimu
wa Jeshi la Polisi katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513
wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo
cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Paredi ya
Maafisa na Wakaguzi wahitimu wa Jeshi la Polisi ikipita mbele ya Mgeni rasmi Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya
kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na
Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini
Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018. PICHA NA IKULU
Maafisa na
Wakaguzi wapya wa Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya heshima walipopita mbele ya
Mgeni rasmi Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt.
John Pombe Magufuli katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513
wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo
cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akikagagua na kuangalia baadhi ya silaha zilizokamatwa na Jeshi la
polisi.

polisi ambazo zilitumika katika matukio mbalimbali ya kiualifu hapa nchini katika
hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120
na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini
Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018

Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia Viongozi wa Majeshi na Serikali pamoja na Wananchi mbalimbali
waliojitokeza katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo
Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018
Mkuu wa
Jeshi la Polisi IGP Saimon Sirro akizungumza mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi
pamoja na Wananchi mbalimbali katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla
Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu
katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018
Naibu
Waziri wa Mambo ya ndani Mhe.Ahmad Masauni akizungumza mbele ya Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli na
Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo
jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393
wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es
salaam.Desemba 21,2018
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Mstaafu Omary Mahita akitoa salamu zake mbele ya Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli na
Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo
jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393
wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es
salaam.Desemba 21,2018.
Viongozi mbalimbali na Majeshi na Serikali na chama wakimsikiliza Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akihotubia katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo
Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018
Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Ahmad Masauni katika hafla ya
kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na
Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini
Jijini Dar es Salaam.Desemba 21,2018.
Maafisa na
Wakaguzi wapya wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe
Magufuli katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo
Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es salaam.Desemba
Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi cheti mmoja wa afisa muhitimu katika hafla ya kufunga Mafunzo
ambapo jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi
393 wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza mara baada ya kumkabidhi cheti mmoja wa afisa aliyehitimu katika
hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120
na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini
Jijini Dar es salaam.Desemba
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesiama na Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini IGP Saimon Sirro wakati Paredi ya Maafisa na Wakaguzi wahitimu wa
Jeshi la Polisi ikipita mbele kutoa heshima katika hafla ya kufunga Mafunzo ambapo jumla
Askari 513 wakiwemo Maafisa wa Polisi 120 na Wakaguzi Wasaidizi 393 wamehitimu
katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es salaam.Desemba 21,2018.
No comments:
Post a Comment