HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 22, 2018

MAHAFALI YA SITA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuanza kwa Mahafali ya Sita ya Chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo eneo la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho.
Mkuu wa Shule ya Sayansi na Elimu Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Dkt. Abdilahi Chande, akiongoza maandamano kuelekea sehemu ya kufanyia mahafali.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (kushoto), Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifuraha Mtaro (wa pili kushoto), pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulika na masuala ya  Taaluma, Dk. Mary Mosha, wakielekea katika sehemu ya mkusanyiko wa mahafali.  
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (katikati), Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifuraha Mtaro (kushoto), pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulika na masuala ya  Taaluma, Dk. Mary Mosha, wakiimba wimbo wa taifa.
Baadhi ya wahityimu wakiimba wimbo wa taifa. 
 Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifuraha Mtaro, akimkaribisha Mkuu wa Chuo kuzindua rasmi Mahafali ya Sita ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo.Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (katikati), akizindua rasmi Mahafali ya Sita ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma), Dk. Mary Mosha,akiwakaribisha wageni katika mahafali.

Kaimu Mkuu Shule ya Sheria Dk. Abel Mhagama, akisoma majina ya wahitimu.
Kaimu Mkuu wa Shule ya Elimu, Dk. Josephine Yambi, akisoma majina ya wahitimu.





















Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, akimkabidhi cheti cha uongozi bora mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu Bagamoyo, Hilder Mmari, wakati wa mahafali ya sita yaliyofanyika chuoni hapo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Desemba 22, 2018. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages