Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati
alipoowasili kwenye Viwanja vya Ofisi za Shirika la Habari Tanzania
(TBC), Mikocheni jijini Dar es salaam kuzindua Chaneli ya Tanzania
Safari Channel, Desemba 15, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam, Paul Makonda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
wa Ufundi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Upendo Mbele wakati
alipotembelea Studio mpya za TBC kabla ya kuzindua chaneli ya Tanzania
Safari Channel, Desemba 15, 2018. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt.
Ayoub Ryoba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watumishi wa Shirika
la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati alipowasili kwenye viwanja vya TBC,
Mikocheni jijini Dar es salaam, kuzindua Chaneli ya Tanzania Safari
Channel, Desemba 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Chaneli ya
Tanzania Safari Channel kwenye viwanja vya Ofisi za Shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC), Mikocheni jijini Der es slaaam, Desemba 15,
2018.
Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozindua Chaneli ya Tanzania Safari Channel kwenye
viwanja vya Ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) jijini Dar es
salaam, Desemba 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua Chaneli ya Tanzania Safari Channel kwenye Viwanja vya Shirika
la Utangazaji Tanzania (TBC) jijini Dar es salaam Desemba 15, 2018.
Kushoto ni Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe, wapili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi
Kigwangalla na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Ryoba.

No comments:
Post a Comment