Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya, Sheikh Tahir Mahmood akimkabidhi zawadi ya vitabu Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mtwara, Titus Mdoe, wakati wa mkutano wa Amani ulioandaliwa na Jumuiya hiyo na kuwakutanisha viongozi wa asasi zisizo za kiserikali, viongozi wa dini pamoja na viongozi wa serikali na kufanyika mkoani Mtwara, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).
Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya Sheikh Tahir Mahmood akimkabidhi zawadi ya vitabu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasuis Byakanwa.
Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya Sheikh Tahir Mahmood akitoa hotuba siku ya mkutano wa amani ulifanyika katika viwanja wa MAsjid Batul Karim Mkoani Mtwara.
Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya, Sheikh Tahir Mahmood akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasuis Byakanwa na baadhi ya waumini wa dini hiyo katika uzinduzi wa Radio Ahmadiyy. Mkuu wa Mkoa alikuwa mtu wa kwanza kusaini kitabu cha wageni.
NA MWANDISHI WETU
Kupitia mkutano wa Amani ambao umeandaliwa na waislamu na jumuiya ya waislam Ahmadiyya mkutano ambao uliwakutanisha viongozi wa asasi sizizo za kiserikali,viongozi wa dini pamoja na viongozi wa serikal mkutano ambao ulifanyika siku Desemba 21, 2018.
Mgeni maalumu alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Gelasuis Byakanwa ameipongeza Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya kwa kufanya mkutano wa amani ikiwa ishara tosha kabisa kuelezea islamu na amani amendelea kuwasisitiza viongoz wa dini kuwakumbusha waumini swala la amani.
Pia katika mkutano huo mkuu wa mkoa alifungua rasmi kituo cha kurushia matangazo cha radio ahmadiyya 99.3 mHz ambacho kwa sasa kinasikika ndani ya manispaa ya mtwara mikindani na kuwataka wanahabari kufanya kazi kwa weledi na uadilifu na kushirikiana na serikali ufahasa kupitia Redio huku akiendelea kusisitiza watu kuienzi amani.
Kwa upande mwingine Mkuu wa Mkoa alizitaka taasisi nyingine kuiga mfano wa Ahmadiyya kwa kuenzi amani na kuiga kutoka kwao kwa kufanya mikutano kama hii mara kwa mara na kutoa pongezi kwa jumuiya kwa kutoa mafundisho ya utii wa serikali pia ametahadharisha wote ambao watakaovunja amani kwa kisingizio cha dini watashughulikiwa kama wahalifu.

No comments:
Post a Comment