HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 06, 2018

TCAA YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI DAR

 Mkuu wa Chuo Cha Usalama wa Anga (Civil Aviation Training Centre) Aristid Kanje, akifafanua jambo katika Semina ya Waandishi wa Habari ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani  Dar es Salaam.
Mwongoza Ndege Kiongozi (Chief Air Traffic Management) Justine Ncheye (kulia), akifafanua jambo katika chumba cha waongozaji wa Ndege kwenye Semina ya Waandishi wa Habari ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani  Dar es Salaam.
 Baadhi ya  waandishi wa habari wakiwa katika Semina hiyo ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani  Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages