Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw.
Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alipomtembela
Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6,2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa
Taifa, wakati wanaagana mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.Disemba 6,2018. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment