HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 09, 2019

WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'JIDABO NA I&M BANK' WAPATIKANA

Meneja Masoko na Mawasiliano wa I&M Bank, Emmanuel Kiondo, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza washindi wa droo ya mwisho ya ‘Jidabo na I&M Bank’, katika hafla iliyofanika jijini Dar es Salaam.  (Picha na Francis Dande).



Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa Benki ya I&M Benki, Donald Mate, akitangaza washindi wa droo ya mwisho ya ‘Jidabo na I&M Bank’.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa I&M Bank, Emmanuel Kiondo, akimpongeza mshindi wa promosheni ya ‘Jidabo na I&M Bank’, Poulomi Joshi, katika hafla ya kutangaza washindi wa droo ya mwisho iliyofanika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa benki hiyo, Donald Mate.
Mshindi wa Promosheni ya ‘Jidabo na I&M Bank’, Poulomi Joshi, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi wa droo ya mwisho iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa Benki ya I&M, Donald Mate, akimpongeza mshindi wa droo ya mwisho ya ‘Jidabo na I&M Bank’, Poulomi Joshi. Kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa I&M Bank, Emmanuel Kiondo.
Meneja wa Benki ya I&M Bank tawi la Maktaba, Mehajabin Haiderali, akimpongeza mshindi wa promosheni ya
‘Jidabo na I&M Bank’, Poulomi Joshi.




No comments:

Post a Comment

Pages