Rais John Magufuli akizungumza wakati alipokutana na viongozi wa dini Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
wakishiriki katika dua iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Zubeiry bin Ally kwa niaba ya Viongozi wa madhehebu yote ya Kiislamu
Tanzania.
Rais John Magufuli, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, wakishiriki dua iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa niaba ya viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo Tanzania. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatano Januari 23, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja
na Viongozi Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari
23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kiislamu Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatano Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja
ba Viongozi wa makanisa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatano Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya
pamoja na watangazaji wa vipindi vya dini Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatano Januari 23, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya
pamoja na Mawaziri na Manaibu Waziri waliohudhuria mkutano huo Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 23, 2019. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment