HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 18, 2019

WAKAZI WA WAZO NA VITONGOJI VYAKE WAPATA MAJI

 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (mwenye kofia) akishuhudia utokaji wa maji eneo la Kata ya Wazo mara baada ya kukamilika kwa tanki kubwa litakalowapatia maji kwa kipindi cha mwaka mzima bila kukatika.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (mwenye kofia) akiongea na wananchi waliojitokeza kuchota maji. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (mwenye kofia) akiongea na wananchi waliojitokeza kuchota maji huku akitoa maelekezo ya kuuza maji kwa tsh. 50 kwa ndoo tu. Maji yakitoka.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa (mwenye kofia) akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja.

No comments:

Post a Comment

Pages