HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 15, 2019

KUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SAMAKI - KIGOMA

 Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Amina Sadiki (kushoto) na Halima Ramadhani (kulia) wakipaa samaki sokoni hapo, Februari 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Wachuuzi wa dagaa katika soko la samaki la Kibirizi kwenye  Manispaa ya Kigoma Ujiji, Odes Aloys  (kulia) na Rashidi Haji (kushoto) wakianika dagaa sokoni hapo Februari 15, 2019.
 Muuzaji wa mafuta ya mawese yanayotokana na michikichi, Mwajuma Khamis   akitamka bei za mafuta hayo aliyokuwa akiyauza  kati ya Shillings 1,000 hadi 10,000 katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 15, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages