HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 10, 2019

YANGA YASHINDA KWA MBINDE

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lapili ambalo KMC walijifunga. Yanga ilishinda mabao 2-1 kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, akimtoka beki wa KMC, Ally Ramadhan wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye dimba la taifa jijini Dar es Salaam Jana. Yanga ilishinda mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment

Pages