Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya Utafiti ya
REPOA, wakati alipowasili kwenye ufunguzi wa Warsha ya 24 ya Utafiti (REPOA) inayofanyika leo April 10, 2019 jijini
Dar Es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala
mbalimbali, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan alipokuwa akifungua Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali
iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Umaskini (REPOA) Warsha hiyo
imefunguliwa leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akifungua Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali
iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Umaskini (REPOA) Warsha hiyo
imefunguliwa leo April 10,2019 jijini Dar Es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiagana na Viongozi na Washiriki wa Warsha ya 24 ya Utafiti
iliyoandaliwa na Taasisi yaUtafiti wa Masuala ya Umaskini (REPOA) jijini Dar Es
Salaam leo April 10,2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment