Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa ramani na
Kaimu Mhandisi wa Wilaya Silva Mkonda, wakati akikagua mradi wa ujenzi wa
Sokoine Memorial High School, wilayani Mvomero Morogoro akiwa njiani kuelekea
Dar es Salaam Aprili 10, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Steven
Kebwe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua majengo ya shule ya Sokoine Memorial High School, wilayani Mvomero Morogoro akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua majengo ya shule ya Sokoine Memorial High School, wilayani Mvomero Morogoro akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Amewataka
Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Steven Kebwe, Mkuu wa Wilaya ya Mvovero, Bw. Mohammed
Utali na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Florent Kyombo wasimamie
haraka uendelezaji na utunzaji wa eneo hilo ili kila mwaka pawe panafanyika
shughuli ya kumbukumbu.
Ametoa
agizo hilo leo (Jumatano, Aprili 10, 2019) wakati akizungumza na viongozi wa
mkoa na watumishi wa wilaya ya Mvomero mara baada ya kukagua ujenzi wa shule ya
Sokoine Memorial High School na kutembelea eneo alipopata ajali Waziri Mkuu mstaafu,
hayati Edward Moringe Sokoine, Aprili 12, 1984.
“Hili
eneo ni maalum. Tulikubaliana ndani ya Serikali liwe sehemu ya kumbukumbu ya
Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine, na keshokutwa ni miaka 35 ya kumbukumbu yake
lakini hakuna chochote ambacho kimeandaliwa hapa kwa ajili hiyo,” amesema.
“Eneo
hili liko jirani kabisa na makao makuu ya Halmashauri ya Mvomero. Mngekuwa
mmepaendeleza tangu Halmashauri ilipoanza, hata bustani mnayosema mnataka kuiweka
ingekuwepo hapa.”
Amesema
anashangaa kuona eneo hilo limetelekezwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya wapo. “Hili eneo kama lingeendelezwa, naamini hata mbio
za kumbukumbu yake zilizofanyika Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita,
zingefanyika hapa. Hata wanafamilia wangekuwa wanapita hapa kwa ajili ya
kumbukumbu hiyo,” amesema.
“Mkurugenzi
wa Halmashauri hapa ni lazima pasafishwe, huku mbele pawe na bustani na hii
miti ya mbele iachwe ili papendeze. Mkuu wa Wilaya una Kamati yako ya Ulinzi na
Usalama, tumia watu wako ili zoezi hili likamilike,” amesisitiza
Wakati huohuo, Waziri Mkuu Majaliwa amesema lengo la
kuanzisha shule ya Sokoine Memorial High School lilikuwa ni kuweka kumbukumbu
yake ili iwe ya kudumu. Amewapongeza kwa kutenga chumba maalum kwenye shule
hiyo, ambacho kitatunza kumbukumbu zake.
Ameutaka
uongozi wa mkoa na wilaya usimamie ujenzi huo ili yapatikane majengo ya kuanzia
kutoa elimu na hatua nyingine zitakamilishhwa wakati wanafunzi wakiwa shuleni.
Shule
hiyo ambayo ilianza kujengwa Juni 2017, kwa mfumo wa Force Account, hadi sasa ujenzi
wake umeshatumia sh. bilioni 1.7. Ujenzi wa shule hiyo ulisimama Mei, 2018 kutokana
na uhaba wa upatikanaji wa fedha.
Taarifa
ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw. Florent Kyombo inaonesha kuwa
hadi sasa madarasa 16, vyoo matundu 16 na ofisi nne za walimu vimejengwa kwa
gharama ya sh. 396,988,359 ambapo hadi sasa wanakamilisha uchomeaji wa
madirisha pamoja na skiming kuta za ndani na nje.
Taarifa
hiyo inaonesha pia kiasi cha sh. 899, 381,643 kimetumika kwa ajili ya ujenzi wa
bweni lenye uezo wa kuchukua wanafunzi 256, ambayo hatua iliyofikiwa ni ujenzi
wa kuta za ghorofa ya kwanza.
Kazi
nyingine ambazo zimefanyika ni ujenzi wa bwalo la chakula (sh. 218,068,299) na
ujenzi wa nyumba mkuu wa shule pamoja na nyumba mbili za walimu za two-in-one kwa gharama ya sh. 178,583,000.
IMETOLEWA
NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
S. L. P. 980,
41193 – DODOMA,
JUMATANO, APRILI 10, 2019.
No comments:
Post a Comment