Askofu Mkuu
wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiongoza
Ibada ya kumsikima Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya katika Ibada iliyofanyika katika uwanja
wa Sokoine Jijini Mbeya.
Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga
akiwa amekaa kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika
uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la
Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akisalimiana na Mapadre wa
Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mkoa wa Mbeya.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa ameketi
kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki nchini.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la
Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa
Mkuu wa Jimbo hilo.
Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga
akisalimiana na Mapadre wa Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi kuwa Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya.
Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa
ameketi kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki
nchini.
Rais John Magufuli akikusanya Sadaka kwa waumini mbalimbali waliokusanyika katika Uwanja wa Sokoine katika ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya, Gervas Nyaisonga. (Picha na Ikulu).
Rais John Magufuli akikusanya Sadaka kwa waumini mbalimbali waliokusanyika katika Uwanja wa Sokoine katika ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya, Gervas Nyaisonga. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment