Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani
Njombe.
Umati wa Wananchi wa
Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (Anko Magu) wa Mafinga ambaye anaigiza
sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Umati wa Wananchi wa
Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.
Umati wa Wananchi wa
Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.
Baraka
Mwakipesile (Anko Magu), Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga
makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John
Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia. Picha
na IKULU.
No comments:
Post a Comment