HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 30, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TUKUYU MKOANI MBEYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe wakati akielekea Mbeya mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyela mkoani Mbeya. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages