Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanachi wa Kijiji cha Mageuzi Wilaya ya Namtumbo wakati akiwa njiani
kuelekea Madaba mkoani Ruvuma.Ambapo Mhe.Rais amechangia Shilingi Milioni nane
kwa Shule ya Msingi na Sekondari Mageuzi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagua Vitanda
katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya
kuzindua kituo hicho.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagua Vifaa
katika Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma mara baada ya
kuzindua kituo hicho.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama
Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto
Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe. Heinar Jensen, Balozi wa
Canada Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe. Mhe.Frolence
Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kuzindua wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wakazi wa kijiji cha Ndelenyuma ambapo awali kilikuwa ni kitongoji na sasa
ametangaza rasmi kuwa kijiji alipokuwa akielekea Madaba mkoani Ruvuma kwenye
uzinduzi wa kituo cha Afya Madaba.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi
wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakifunua
kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya na Maendeleo ya
Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa Denmark nchini
Mhe. Heinar Jensen, Balozi wa Canada Nchini Mhe. Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi
Nchini Mhe.Frolence Mattli pamoja na wadau wa Maendeleo kuashiria uzinduzi wa
Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana
mikono pamoja na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto
Ummy Mwalimu, Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada
Nchini Mhe.Pamela O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe.Frolence Mattli,Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo alipokuwa
akikagua Wodi ya Wazazi ya Kituo cha
Afya Madaba mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu,
Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen,Balozi wa Canada Nchini Mhe. Pamela
O’donnel, Balozi wa Uswisi Nchini Mhe. Frolence Mattli, Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli pamoja pamoja na wadau wa Maendeleo wakiimba wimbo wa taifa wakati wa
sherehe za uzinduzi wa Kituo cha Afya
Madaba mkoani Ruvuma. PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment