Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisikiliza maelezo yaliokuwa yakitolewa na
Dkt. Mkoni kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe kabla ya
kuweka jiwe la msingi hospitalini hapo.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisikiliza maelezo yaliokuwa yakitolewa na
Dkt. Mkoni kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe kabla ya
kuweka jiwe la msingi hospitalini hapo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono pamoja na kuwasukuru wanachi wa Njombe waliojitokeza katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa Sabasaba mkoani humo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
jengo hilo la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Picha namba 18. Baadhi ya
wakazi wa Njombe wakiwa katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri
wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali
ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
maeneo mbalimbali ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambayo ujenzi wake
upo katika hatua za mwisho kukamilika.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, Waziri wa Afya
Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine mara baada ya ya kuweka jiwe la msingi
katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Sehemu ya
jengo la la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km
107.4
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi
mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika
ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na
wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani wakati alipokwenda kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi waishio
pembezoni mwa barabara ya Njombe-Makete mara baada ya kuiwekea jiwe la msingi.
No comments:
Post a Comment