Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuzindua chuo cha
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey
Zambi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako mara
baada ya kuzindua chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo
mkoani Ruvuma.
Sehemu ya
Wananchi wa Namtumbo waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa chuo cha Elimu
na Mafunzo ya Ufundi Stadi kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment