Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea
mkoani Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasikiliza wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati
akielekea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Ally Hapi, pamoja na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi wakishangilia mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo
la Migori mkoani Iringa.
Mkuu wa Mkoa
wa Iringa Ally Hapi pamoja na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi wakishangilia mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo
la Migori mkoani Iringa.
Wananchi wa
Migori wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha
Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa kuwashukuru wakati kabla ya kuelekea
mkoani Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
machifu wa Kimila wa mkoa wa Iringa mara baada ya kuwashukuru viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Iringa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
huku akiwa ameshika Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo (Mmachinga) ambae amedai kuwa bado wanatozwa
ushuru. Rais Dkt. Magufuli amepiga marufuku kudai ushuru kwa wafanyabiashara
wote wenye vitambulisho hivyo ambao mtaji wao hauzidi Shilingi milioni 4. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment