Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa
katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba
Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa
Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani
Ruvuma mara baada ya kuwachangia shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth
Magufuli wakisalimiana na Masista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias
Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya Ibada ya
dominika ya 5 ya Kwaresma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono waumini wa wa
Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Kalemba Jimbo Kuu Katoliki la
Songea mkoani Ruvuma mara baada ya ibada. PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment