HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 23, 2019

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAFANYA KIKAO CHAKE JIJINI DODOMA

 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati ilikutana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula. (Picha na Ofisi ya Bunge).

No comments:

Post a Comment

Pages