HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 23, 2019

MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE

Mrembo wa Dunia wa Uandishi wa Habari (Miss World Journalism 2018) Nina Yevtushenko kutoka Nchini Ukraine atembelea Bunge na kujionea namna Vikao vinavyoendeshwa hii leo jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

No comments:

Post a Comment

Pages