
Msafara ukielekea katika Hospital ya Jeshi Lugalo.
Mmoja wa waombolezaji akilia kwa uchuingu baada ya kuona jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi wakati ukipita katika mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Dubai.
Watu wa rika mbalimbali walijitokeza kushuhudia jeneza la Dk. Mengi.
No comments:
Post a Comment