HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 22, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU ATHUMANI HASSAN NGWILIZI LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM. MEI 22,2019

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika katika kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2019 kwaajili ya kuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20, 2019.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika katika kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2019 kwa ajili ya kuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2019 , Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Shekhe Mkuu wa Dar es Salaam, Alhaji Mussa Salum baada ya kuwasili katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kwaajili ya kuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi aliyefariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameungana na Viongozi wengine na ndugu kusindikiza kwenye gari mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi kutoka katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 kuelekea Mlalo Lushoto Mkoani Tanga kwaajili ya mazishi ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Mjane wa Marehemu mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 , Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya  Marehemu mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019. (PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment

Pages