Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya
nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kuingia kwenye ndege ya Shirika la
ndege la Tanzania (Air Tanzania) walipokuwa wakielekea Nchini Afrika Kusini
kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa
ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa
kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini
Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo
Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa

Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili
ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais
Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei
25,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili
ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais
Mteule wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei
25,2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment