HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 28, 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE, RAIS HAGE GEINGOB WA NAMIBIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dk. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili.






No comments:

Post a Comment

Pages