Maonesho ya kimataifa ya sanaa yamezinduliwa leo jijini
Hong Kong. Katika hafla ya uzinduzi wa banda la Tanzania, Balozi wa Tanzania
nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wasanii kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza
watapata fursa ya kuonesha kazi zao jijini Hong Kong ili kufungua soko jipya.
Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki.
Wafanyabiashara.
Wasanii wa Tanzania
No comments:
Post a Comment