HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 14, 2019

RAIS WA JAMHURI YA DEMOKRASIA YA CONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AMALIZA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na vyombo vya habari vya ndani na nye ya nchi baada ya mazungumzo rasmi na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo kabla ya
kumsindikiza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni 14, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakatia   aikondoka Ikulukuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni 14, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages