HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 19, 2019

MISS TANZANIA KUNOGESHA SELOUS MARATHON 2019


 Meneja wa Huduma za Utalii Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Joseph Sendwa, akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mbio za Selous Marathon zitakazofanyika mkoani Morogoro Agosti 24. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Imani Kajula na kulia ni balozi wa mbio hizo ambae pia ni Miss Tanzania 2018, Elizabeth Makune.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mbio hizo, Imani Kajula akizungumza. Kulia ni balozi wa mbio hizo ambae pia ni Miss Tanzania 2018, Elizabeth Makune.
 Balozi wa mbio hizo ambae pia ni Miss Tanzania 2018, Elizabeth Makune akifafanua jambo.

No comments:

Post a Comment

Pages