Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo ya kipingele cha
wadhamini, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela,
wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Kibiashara ya Kimataifa ya 43 (DITF). (Picha na Francis Dande).
Makamu
wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini
wa maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) mara baada ya
kufungua rasmi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Joseph
Witts (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja,
Tully Mwambapa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akibadilishana mawazo na
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Joseph
Witts (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja,
Tully Mwambapa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abulmajid Nsekela, akisalimiana na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Temeke, Andrew Augustine, wakati alipofanya ziara ya kwenye Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa, Sabasaba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abulmajid Nsekela, akipata huduma ya kifedha
kutoka kwa wakala wa FahariHuduma katika banda la benki hiyo lililopo
katika Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa, Sabasaba jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wateja wakisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, alipofanya ziara katika banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mkurugenzi tendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza na waandishi wa habari wakati alipofanya ziara katika Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
No comments:
Post a Comment