Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger.
Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili
masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara
Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA) (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment