Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),
akimuelekeza dereva bodaboda jinsi ya kufunga kofia ngumu wakati wa utoaji wa
elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha
na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati),
akizungumza na dereva wa daladala wakati
wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo
ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani
Zanzibar.Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias
Kwandikwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zanzibar, Kamishna Msaidizi
Robert Patrick, akiwaonyesha wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
sehemu ambako hutumika kwa wavuka kwa miguu ikiwa imefutika alama za
pundamilia,wakati wajumbe hao walipokwenda kutoa elimu kwa madereva na abiria
juu ya usalama barabarani,watatu kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae
pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad
Masauni aliyeongoza ujumbe huo,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini,Kamishna
Mwandamizi Msaidizi,Fortunatus Musilimu akiwaeleza wajumbe wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani ripoti ya ajali za barabarani nchini muda mfupi kabla ya
kuanza ziara ya kutembelea vituo vya daladala kutoa elimu ya kujiepusha na
ajali za barabarani,wapili kulia ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni aliyeongoza ujumbe huo,zoezi hilo
limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (wapili
kulia), akiwaongoza wajumbe wa baraza hilo kuelekea katika vituo vya daladala
kutoa elimu kwa watumiaji wa vyombo vya
moto,lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo
limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),
akimsikiliza mwananchi wa Zanzibar wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na
watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza
kuzuilika, zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Watatu kulia ni Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
No comments:
Post a Comment