HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 10, 2019

TCRA YAFUNIKA MAONYESHO NANE NANE KILA KONA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Kikombe  Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa TCRA  Mhandisi Francis Mihayo  cha Ushindi wa kwanza katika  kundi la taasisi za mawasiliano wakati wa kufunga  maonesho ya Nanenane  Kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu. (Picha na TCRA).
 Katibu wa Baraza la Wazee, Mkoa DODOMA  Alhaji-Mohammed Makbel (80) (kulia) na Mjumbe wa Baraza hilo Bi. Fatuma Mohammed Mtaki(79)  kwenye picha ya Pamoja baada ya kusajili Laini zao za Simu kwa Alama ya Vidole -Viwanja vya Nane-Nane Jijini  Dodoma, leo 7/08/2019. Wajumbe hao wa Baraza la Wazee Mkoa Dodoma wamehimiza Wananchi kusajili Laini zao za Simu Kibiometria na Kuzingatia Matumizi Bora ya Mtandao.
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yaibuka Mshindi wa Tatu Bora -kwenye kundi la Mamlaka za Huduma na Udhibiti-Sikukuu ya Wakulima Nane-Nane 2019 DODOMA. Pichani Mgeni Rasmi Dkt. Rehema Nchimbi(kulia)  ambaye ni Mkuu wa Mkoa Singida, akimkabidhi Cheki, Mkuu wa TCRA- Kanda ya Kati  Antonio Manyanda kwenye Uwanja wa Nzunguni Dodoma, wa Pili kulia ni Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge.
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA Mhandisi, Emelda Salum, akiwa na Kikombe cha Ushindi wa Pili katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Pages