Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, akiwasili katika ofisi za Kikosi cha Askari Wanamaji cha Jeshi la Polisi katika ofisi zao zilizopo jijini Dar es Salaam na kushoto kwake ni SP Benedict Nyagabona.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, akipata maelekezo utendaji kazi wa Askari Polisi wanamaji kutoka kwa Kamanda wa Kikosi cha Askari wanamaji Tanzania ACP Evince Mwaijage baada ya kuwasili ofisini
hapo.
hapo.
No comments:
Post a Comment