HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 14, 2019

YANGA YAJIWEKA PAGUMU KUTINGA MAKUNDI CAF CL

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akisalimiana na kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera.
Kikosi cha Yanga.
 Kikosi cha timu ya Zesco United ya Zambia.
Mshambuliaji wa Yanga, Sadney Urikhob, akichuana na beki wa Zesco United.
 Wachezaji wa Yanga kutoka kushoto, Feisal Abdallah, Patrick Sibomana na Papy Tshishimbi wakishangilia bao la
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mechi.
 Wachezaji na viongozi wa Zesco United wakishangilia balo la kusawazisha.
Mashabiki wa Yanga baada ya kumalizika mpira.
 Mashabiki wa Zesco United wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo.
Shabiki wa Yanga akitolewa kwa machela baada ya afya yake kuzohofika Zesco United waliposawazisha bao.

No comments:

Post a Comment

Pages