HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 24, 2019

RAIS DK.SHEIN ZIARANI UMOJA WA FALME ZA KIARABU UAE

Meneja waMamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi. Navritu Rai akizungumza na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa mkutano. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Mheshimiwa Mohammed Ali Musabah, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda wa Ras Al Khaimah wakisikiliza kwa makini Taarifa inayohusiana na Utalii iliyowasilishwa na Meneja wa Mamlaka ya Maendeleo ya Utalii wa Serikali ya Ras Al Khaimah Bi.Navritu Rai. (hayupo pichani) Katika Mkutano uliofanyika Ras Al Khaimah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwasiliza kwa makini Viongozi  wa Kampuni za Uwekezaji, Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye Viwanda pamoja na Mamlaka za Vitega Uchumi za Ras Al Khaimah, katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.

No comments:

Post a Comment

Pages