Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi 
nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa 
mototo wa Mkuu wa Majeshi , Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es salaam,
 Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya
 kifo cha Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi nchini, Generali 
Venance Mabeyo, nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es 
salaam, Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, 
Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali, Venance
 Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini 
Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, 
Septemba 24, 2019. Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis 
Juma na kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni 
Sefue.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment