Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Andrew Augustine, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Pili ya Shule ya Msingi St. Joseph Worker yaliyofanyika shuleni kwao Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mgeni rasmi akipokea salamu kutoka kwa skauti.
Mgeni rasmi akisaini kitabu cha wageni.
Mkuu wa shule akitoa maelezo Meneja wa CRDB tawi la Temeke, Andrew Augustine.
Mgeni rasmi akikagua madarasa.
Wanafunzi wasa la saba wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shule ya Msingi St. Joseph Worker.
Wahitimu wakiwa katika mahafali ya Pili ya Shule ya Msingi St. Joseph Worker.
Meza Kuu.
Kubadilishana mawazo.
Kuonesha vipaji.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Andrew Augustine, akitoa fedha katika mashine ya mfano wa ATM iliyotengenezwa na wanafunzi wa St. Joseph Worker.
Mkuu wa Shule ya Msingi St. Joseph Worker, Sista Monica Mwanzui, akipeana mkono na toa hotuba yake wakati wa Mahafali ya Pili ya shule hiyo.
Wanafunzi wakipita na vazi lenye asili ya Zanzibar.
Wahitimu wakimba ngonjela
Wanafunzi wakionesha umahiri wa kucheza sarakasi.
Wanafunzi wakitumbuiza kwa ngoma.
Meza Kuu.
Wahitimu wakimkabidhi risala waliyosoma kwa mgeni rasmi.
Mwakilishi wa wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule hiyo akizungumza kwa niaba ya wazazi wenzake.
Mkuu wa Shule ya Msingi St. Joseph Worker, Sista Monica Mwanzui, akitoa hotuba yake wakati wa Mahafali ya Pili ya shule hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Andrew Augustine (kulia), akipokea risala kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Msingi St. Joseph Worker, Sista Monica Mwanzui.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Andrew Augustine, akitoa hotuba wakati wa Mahafali ya Pili ya Shule ya Msingi St. Joseph Worker.
Mkuu wa Shule Sista Monica akimpongeza mgeni rasmi baada ya kutoa hotuba yake.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Temeke, Andrew Augustine (wa pili kushoto), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Pili ya Shule ya Msingi St. Joseph Worker, akipokea keki sambamba na Mkuu wa Shule hiyo, Sista Monica Mwanzui, kutoka kwa wahitimu wa darasa la saba, Precious Nduke (kulia) na Diana Joshua, wakati wa mahafali ya pili yaliyofanyika Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu).
No comments:
Post a Comment