HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 05, 2019

WaziriMkuu Kassim Majaliwa, aweka jiwe la msingi katika kituo cha kupozea umeme

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages