Beki wa kushoto wa
Coastal Union ya Tanga, Omary Salum akimiliki mpira mbele ya beki wa
kulia wa Yanga, Juma Abdul wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara
(VPL), uliopigwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha
na Said Powa).
Beki
wa kushoto wa Coastal Union ya Tanga, Omary Salum akijaribu kumdhibiti
Mshambuliaji wa Yanga, David Molinga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu
Tanzania bara (VPL), uliopigwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es
Salaam. (Picha na Said Powa).
No comments:
Post a Comment