Meja Leonard Mpangala toka Kikosi cha 121 Uhandisi wa Medani Ngerengere (JWTZ) akitoa ufafanuzi juu ya namna ujenzi wa daraja la muda katika eneo la Nderema kwadimba ulivyofanywa na vikosi hivyo baada ya mvua kusomba daraja la awali.
Mkuu wa Mkoa Tanga, Martin Shigella, akikagua daraja la muda lililojengwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzani (JWTZ) baada ya mvua zilizonyesha kubomoa daraja la awali katika eneo la Nderema Kwadimba Wilayani Handeni. Kulia ni Meja Leonard Mpangala toka Kikosi cha 121 Uhandisi wa Medani Ngerengere (JWTZ)(Picha na Mbaruku Yusuph).

No comments:
Post a Comment